ANANIA NGOLIGA AENDA NORWAY, ZIARA YA MUZIKI MWEZI 1

Anania  kulia akiwa na mwanamuziki mpiga fiddle Casey Dreissen wa Marekani
Anania Ngoliga amesafiri kwenda Norway kwa ziara ya kimuziki ya mwezi mmoja, katika safari hiyo atasindikizana na mwalimu mmoja wa TASUBA. Anania aliondoka Jumamosi alfajiri na anategemewa kurudi siku ya tarehe 21 Desemba 2015.

No comments

ANANIA NGOLIGA AND JOHN KITIME RELEASE THEIR 1ST ALBUM

THE  songs in this 10-song album, are a variety of songs composed by the duo, played in their own unique style. Anania Ngoliga of the  Wagog...