'WAHENGA' FILAMU INAYOTOA HISTORIA FUPI YA MUZIKI WA DANSI TANZANIA. COMING SOON


Wahenga‘ ni filamu inafuatilia harakati za  John Kitime, mwanamuziki mkongwe wa kiTanzanian , akiwa katika jitihada zake za kukusanya wanamuziki wenzake na kutengeneza muziki kama ulivyokuwa enzi za ujana wake. Katika safari yake anakutana na wanamuziki kadhaa ambao walikuweko wakati ujenzi wa Taifa la Tanzania enzi za Mwalimu Nyerere. Katika safari yake na wanamuziki wenzake tunapata picha ya historia ya muziki katika miaka ya 60 na 70 na jinsi muziki ulivyoweza kukusanya watu pamoja na kulifanya Taifa hili kuwa lilivyo..

No comments

ANANIA NGOLIGA AND JOHN KITIME RELEASE THEIR 1ST ALBUM

THE  songs in this 10-song album, are a variety of songs composed by the duo, played in their own unique style. Anania Ngoliga of the  Wagog...